Jinsi ya Kujilinda Dhidi ya Virusi vya Corona (COVID-19)Kwa mujibu wa WHO, dalili za kawaida za maambukizo ya Coronaviruses (CoV) au (COVID-19) ni pamoja na dalili za matatizo ya kupumua, homa, kikohozi, upungufu wa pumzi na shida ya kupumuaKatika hali kali zaidi, maambukizi yanaweza kusababisha pneumonia (nimonia), kuishiwa punzi, matatizo ya figo na hata kifo Mara chache zaidi, ugonjwa huo unaweza kuwa mbaya kwa watu wazee, na watu walio na
Contact Supplier